ID:
Source:
Uploader:
Video
Quality Format Size Downloads
Audio
Quality Format Size Downloads
Images
Quality Format Size Downloads
× Error ! Unable to fetch video, Invalid link or Video Doesn't Exist.

Kwa Siku ya Kimataifa ya Urafiki tunawaletea mchanganyiko wa video zinazohusiana na urafiki! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! This video was made possible by a grant from the Goodall Foundation. http://www.goodall-foundation.org.uk/ Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: http://www.ubongokids.com

ubongo kids, urafiki, video za watoto, video kwa watoto, international friendship day, united nations cartoon, un cartoon, un animation, tanzanian animation, tanzanian cartoon

Related Videos "Video za Urafiki | Siku ya Kimataifa ya Urafiki! | Ubongo Kids - Katuni za Kiswahili"

About

9Converter is a free online video converter and online video downloader that allows users to download songs and videos from over 1,000 websites for free. Using our downloader is very easy. Just enter the link of the video or the page where the video is located, then press the Download button. 9Converter will fetch and display all the available resolutions and download links for that video.

We provide one of the best online video downloaders that is easy and free to use and can be used on any device, whether it be Windows, Mac, Linux, Android, iOS or any other OS. If you're downloading on iOS, you can use a file downloading app to download and save videos to your Camera Roll.'.

Superior conversion quality

9Converter.com is a free online media conversion web application that allows you to convert any video link or file to various formats without the need to install any software on your computer. 9Converter is fully compatible with all modern browsers and has been touted online as the best online video conversion utility as it offers high quality and super fast conversions to many audio ( .mp3 / .aac / .ogg / .wma / .m4a / .flac / .wav ) and video ( .mp4 / .avi / .mpg / .mov / .wmv / .mkv / .m4v / .webm / .flv / .3gp ) formats. A wide range of online video portals are supported, including YouTube, Dailymotion and Vimeo.
Youtube To Mp3 Converter, Youtube Video Downloader, YouTube to MP4 Converter, Soundcloud Downloader, Instagram Photos And Videos Downloader, Download Video From Facebook, PICKVIDEO, YouTube Download